"Kwanza mtu ambaye amewaponza wenzake ni Martha Karua"

  • | BBC Swahili
    935 views
    Chama tawala nchini Tanzania CCM @ccmtanzania kimesema suala la mwanasiasa wa Kenya Martha Karua @marthakaruaofficial kuingilia maamuzi ya mahakama ya nchi hiyo ndio lililosababisha kuzuiliwa kwa wanaharakati wengine waliotaka kuja kushuhudia kesi ya mwanasiasa wa upinzani na Kiongozi wa CHADEMA @tunduantiphaslissu Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC, @mcdavid_nkya_ , Makamu mwenyekiti wa chama hicho, Stephen Wasira amesema hatua hiyo ilikua ni kama kuingilia maamuzi ya ndani ya nchi kitu ambacho hakikubaliki. #bbcswahili #tanzania #ccm Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw