Lengo la Marekani kutua mwezini lashindikana

  • | BBC Swahili
    939 views
    Chombo cha kwanza cha anga za juu kilichotengenezwa Marekani kwa ajili ya kutua mwezini kilishindwa baada ya kutokea tatizo muda mfupi baada ya kuanza safari ya mwezini. - Chombo hicho kisicho na mtu, kinachoitwa Peregrine, kilikuwa na tatizo la kuelekeza paneli zake za sola kwenye Jua ili kuzalisha nishati baada ya kuvuja kwa mafuta. - - - #bbcswahili #marekani #peregrine #angazajuu #mwezini