- 511 viewsPicha za video zikionyesha ukubwa wa mafuriko nchini Libya zilisambazwa na huduma za dharura za mji ulioko kaskazini mashariki wa Bayda Jumanne. Kiasi cha watu 50 wameripotiwa kuwa wamepoteza maisha katika mji huo. Mamlaka nchini Libya Jumanne zilisema kuwa watu wasiopungua 2,000 wamefariki na maelfu hawajulikani walipo katika kufuatia janga la mafuriko lililolikumba taifa la Afrika Magharibi Jumapili, huku likiharibu barabara kadhaa na majengo. Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Jumuiya ya Mwezi Mwekundu, IFRC, ilisema “ vyanzo vyao vyakujitegemea vya habari” vilithibitisha kuwa “idadi ya watu waliotoweka imefikia 10,000 hivi sasa.” - AP / VOA #Libya #RedCross #RedCrescent - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Libya: Watu wasiopungua 2,000 wafariki, zaidi ya 10,000 hawajulikani waliko
- 6 Jul 2025 - Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
- 6 Jul 2025 - Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
- 6 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
- 6 Jul 2025 - The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
- 6 Jul 2025 - Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted
- 6 Jul 2025 - Joho leads Coast MPs in Ruto campaign
- 6 Jul 2025 - Mr President you risk bringing idolatry in church, State House
- 6 Jul 2025 - Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction
- 6 Jul 2025 - 35 years later, Saba Saba continues: Meeting of different generations, same script
- 6 Jul 2025 - Parliament's CDF coup: The Senate should halt this constitutional heist