29 Sep 2025 8:08 pm | Citizen TV 226 views Duration: 35s Timu sita zimefungua kampeni zao za ligi ya kandanda daraja la pili kwa ushindi huku timu za zamani za ligi kuu ya Kenya zikiongoza mapema katika harakati za kupandishwa daraja hadi ligi kuu ya Kenya.