Skip to main content
Skip to main content

Linda Mwananchi yaapa kuungana na upinzani kumng'oa Ruto 2027

  • | Citizen TV
    18,474 views
    Duration: 2:37
    Viongozi wa Linda Mwananchi sasa wameapa kuwa wataungana na viongozi wengine wa upinzani katika safari ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Wakiongozwa na Gavana wa Siaya James Orengo, viongozi hao waliokuwa Taita Taveta wamesema kuwa vuguvugu la Linda Mwananchi litahakikisha kuwa Rais Ruto hatapata muhula wa pili wa uongozi.