Skip to main content
Skip to main content

Lissu: Waambie tutafika tu yatakwisha, waambie watanzania nawamiss sana

  • | BBC Swahili
    21,407 views
    Duration: 29s
    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imeendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam ambapo baada ya mwezi uliopita Mahakama kuamua kwamba Tundu Lissu ana kesi ya kujibu, mshtakiwa huyo alianza kujitetea yeye mwenyewe kama shahidi wa kwanza na kuwaleta mashahidi wengine mahakamani hapo. #bbcswahili #chadema #uhaini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw