Lita 520 za pombe haramu zanaswa na kumwagwa katika kaunti ya Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    120 views

    Watu wanne wamekamatwa huku watatu wakitoroka baada kukamatwa na lita 520 za pombe katika operesheni inayoendelea ya kupigana na pombe haramu eneo la Tharaka, kaunti ya Tharaka Nithi.