Lori laning'inia kwenye ukingo wa daraja lililoporomoka

  • | BBC Swahili
    1,202 views
    Tazama Lori hili likining'inia kwenye ukingo wa daraja lililoporomoka baada ya mvua kubwa kusababisha maporomoko ya ardhi huko Guizhou, kusini-magharibi mwa China. Picha za mitandao ya kijamii zilinasa mtu mmoja akijaribu kumsaidia dereva aliyekuwa amekwama ndani ya lori hilo. Mamlaka za eneo hilo zilisema dereva aliokolewa na hakuwa na majeraha yoyote. #bbcswahili #China #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw