Skip to main content
Skip to main content

Lumumba Vea, shabiki maarufu wa Congo DR ambaye amegeuka kivutio kikubwa katika Kombe la Dunia

  • | BBC Swahili
    24,368 views
    Duration: 1:21
    Anaweza kusimama dakika 90 bila kusogea, akionekana kama sanamu halisi! Huyu ndiye Lumumba Vea, shabiki maarufu wa Congo DR ambaye amegeuka kivutio kikubwa katika Kombe la Dunia. Safari yake ya kufika Mexico haikuwa rahisi, lakini sasa dunia nzima inamshuhudia Mwandishi wa BBC @loko_omi na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #DRC #kandanda #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw