Skip to main content
Skip to main content

M-Ajira yatoa fursa za ajira Saudi Arabia kwa madereva wa malori 500

  • | Citizen TV
    1,361 views
    Duration: 2:51
    Zaidi ya madereva 500 wa malori wanatarajiwa kupata fursa za ajira nchini Saudi Arabia, kufuatia hatua ya kampuni ya M-Ajira kuandaa zoezi la usajili katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Kenyatta. Wakenya wengi wamejitokeza kushiriki zoezi hilo la siku tatu, huku M-Ajira ikishirikiana na waajiri kutoka ukanda wa Ghuba kutoa nafasi mbalimbali za ajira.