9 Sep 2025 10:33 am | Citizen TV 108 views Duration: 2:01 Hazina ya ustawishaji eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta itatumia jumla ya shilingi milioni 28 ili kufanikisha ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari msingi sehemu hiyo.