Skip to main content
Skip to main content

"Maadui zetu si Watanzania ni ukosefu wa ajira"

  • | BBC Swahili
    15,339 views
    Duration: 55s
    "Maadui wetu sio Wakenya wala sio Watanzania" Rais wa Kenya William Ruto akizungumza katika Bunge la Tanzania Rais Ruto yupo katika ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Tanzania inayolenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw