Maafisa 460 zaidi wa akiba watatumwa Turkana

  • | Citizen TV
    30 views

    Waziri wa usalama Kithure Kindiki amesema kuwa maafisa 460 zaidi wa akiba watatumwa katika kaunti ya Turkana ili kupiga jeki juhudi za usalama na kuwakabili wavamizi.