- 580 viewsDuration: 1:56TUHUMA ZA ULANGUZI WA MIHADARATI Wanajeshi wanane wa vikosi vya ulinzi vya humu nchini walioshtakiwa kwa ulanguzi wa mihadarati watafahamu hatima yao kesho kuhusu iwapo wataachiliwa kwa bondi baada ya kufikishwa rasmi kwenye mahakama ya Mombasa. Wanajeshi hao wanashtakiwa kwa kumiliki kilo 24 za mihadarati aina ya methamphetamine ya thamani ya shilingi milioni-192. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive