Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi waanza baada ya ndege kupoteza mkondo Wilson

  • | Citizen TV
    17,705 views
    Duration: 3:19
    Mamlaka ya usafiri wa ndege nchini inasema kuwa uchunguzi kuhusu kisa cha Ijumaa usiku ambapo ndege moja ilipoteza mkondo ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Wilson hapa jijini Nairobi. KCAA inasema kuwa mamlaka ya kuchunguza ajali za ndege imetwaa ndege hiyo kwa uchunguzi. Uchunguzi huo unajiri huku masuali yakiibuliwa kuhusu usalama wa barabara ya ndege kupaa na kutua katika uwanja huo.