Maafisa tabibu Machakos watoa ilani

  • | Citizen TV
    267 views

    Mgomo wa matabibu unanukia katika kaunti ya Machakos huku maafisa tabibu hao wakitoa ilani ya siku saba ya mgomo. Maafisa hao wa afya wametoa ilani hiyo baada ya mazungumzo na serikali ya kaunti Kugonga Mwamba.