Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa EACC wawakamata watu 3 kwa ufisadi

  • | Citizen TV
    326 views
    Duration: 1:15
    Tume ya kupambana na ufisadi imewakamata watu watatu wakijumuisha mwakilishi wodi na maafisa wawili wa zamani wa kaunti ya Garissa kwa tuhuma za ufisadi wa malipo ya shilingi milioni 51.