- 15,209 viewsDuration: 2:56Maafisa wa polisi wa Kenya waliohudumu nchini Haiti wamesimulia changamoto walizokumbana nazo katika kipindi cha miezi 18 waliyohudumu taifa hilo. Wakizungumza siku moja baada ya kurejea nyumbani, maafisa hao wanasema licha ya kufanya kazi katika mazingira magumu na hatari, walikamilisha wajibu wao kwa mafanikio makbwa