Maafisa wa polisi katika eneo la Mwingi wanamzuilia mwanamume kuhusiana na mauaji ya mpenziwe

  • | KBC Video
    180 views

    Maafisa wa polisi katika eneo la Mwingi wanamzuilia mwanamume wa umri wa miaka-24 kuhusiana na mauaji ya mwanamke wa umri wa miaka-40 katika tukio la kimapenzi. Mwanamume huyo alishambuliwa na wananchi kabla ya kuokolewa na polisi. Inadaiwa alimuua mwanamke huyo alipodhamiria kutamatisha uhusiano wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive