Maafisa wa polisi wahimizwa kuimarisha uhusiano na umma

  • | KBC Video
    9 views

    Katika juhudi za kujenga upya na kuimarisha uhusiano uliodorora kati ya polisi na umma, makasisi katika Huduma ya Polisi wa Utawala (AP) wamezindua mfululizo wa mipango inayolenga kukuza uaminifu na ushirikiano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive