Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa polisi wahimizwa kuongeza elimu

  • | KBC Video
    296 views
    Duration: 3:58
    Maafisa wa polisi wamehimizwa wawekeze katika elimu ya juu ili kuimarisha uwezo wao wa utekelezaji shughuli na utaalamu kutokana na vitisho vya usalama vinavyobadilika kila uchao. Ujumbe huo ulikaririwa kwenye hafla iliyoandaliwa kwa heshima ya Superintendent mkuu wa Polisi Grace Kamau, aliyefuzu kwa shahada ya uzamifu kutoka kwa chuo kikuu cha Kenyatta. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive