Maafisa wa polisi walazimika kupiga risasi hewani ili kuwatawanya wakaazi hao wa Uasin Gishu

  • | TV 47
    47 views

    Maafisa wa polisi walazimika kupiga risasi hewani ili kuwatawanya wakaazi hao.

    Afisa mmoja wa polisi alipata majeraha mabaya baada ya kulengwa kwa jiwe.

    Maafisa wa KEBS, polisi na wanahabari walitoroka kuokoa maisha yao.

    Magunia 50 ya kilo 25 ya mchele yalikuwa yameanza kuharibiwa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __