- 533 viewsDuration: 1:38Wizara ya afya imetakiwa kuhamasisha umma kuhusu namna bima ya SHA inagharamia matibabu ya magonjwa ya saratani. Mweneyekiti wa muungano wa polisi waliostaafu, Julius Waweru, anasema kuwa wakenya wengi wanapitia hali ngumu kwa matibabu ya saratani ilhali sha iko na jukumu la kusaidia wanaougua . Alikuwa anaongea hapa nairobi kwenye kambi ya ukaguzi wa dalili za saratani kwa maafisa wa polisi waliostaafu.