1 Oct 2025 10:51 am | Citizen TV 86 views Duration: 2:08 Tume ya Huduma za Walimu TSC katika kaunti ya Nyamira imeongoza wadau wa elimu katika kaunti hiyo, kuzindua zoezi linalolenga upanzi wa zaidi ya miche 40,000 wiki hii