3 Oct 2025 1:12 pm | Citizen TV 167 views Duration: 1:04 Maafisa wa tume ya uchanguzi IEBC katika kaunti ya Kitui wamesihi wakazi wenye vitambulisho kujitokeza na kujiandikisha kwa wingi katika ofisi zao.