Maafisa wa Uchaguzi Marekani watoa kipaumbele cha usalama kabla ya uchaguzi wa rais Novemba

  • | VOA Swahili
    125 views
    Mamlaka nchini Marekani zinasema wana imani kuwa wataweza kukabiliana na vitisho vyoyote vya usalama kuelekea uchaguzi wa rais mwezi Novemba. Huko Alexandria, Virginia, Mwandishi wa VOA, Veronica Balderas Iglesias alihudhuria mafunzo ya maafisa wa uchaguzi, moja ya hatua kadhaa za kuhakikisha upigaji kura huru, wa haki na wazi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.