Maafisa wa Ujasusi Laikipia wanasa vipande 23 vya pembe za ndovu vya thamani ya shilingi milioni-11

  • | KBC Video
    18 views

    Majasusi katika kaunti ya Laikipia wamenasa vipande 23 vya pembe za ndovu vinavyokadiriwa kuwa vya thamani ya shilingi milioni 11. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa Laikipia John Nyoike, pembe hizo zenye uzito wa kilo 114 zilizokuwa zikisafirishwa kutoka Churo kauti ya Baringo, zilinaswa katika eneo la Mahiga viungani mwa mji wa Sipili katika kaunti ya Laikipia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini