Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa usalama Nandi watangaza vita dhidi ya pombe haramu

  • | KBC Video
    214 views
    Duration: 3:21
    Maafisa wa usalama katika kaunti ya Nandi wametoa tahadhari kuhusu mbinu mpya ambayo ni hatari katika biashara ya uuzaji pombe haramu, ambapo makazi ya kibinafsi yanageuzwa kuwa maeneo ya kuuzia wateja pombe hiyo kupitia ua. Maafisa wa polisi katika kaunti ndogo ya Chesumei walifanya msako usiku kwa lengo la kukomesha biashara hiyo ya utengenezaji pombe haramu. Ben Chumba na taarifa hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive