Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wakuu wa EPRA na Kenya Pipeline wakamatwa kwenye sakata ya mafuta

  • | Citizen TV
    8,944 views
    Duration: 2:41
    Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya EPRA Daniel Kiptoo, afisa mkuu wa kampuni ya Kenya Pipeline Joe Sang, na naibu mkurugenzi idara ya petroli Joseph Wafula wanahojiwa katika makao makuu ya upelelezi baada ya kukamatwa mapema leo na kuzuiliwa katika vituo kadhaa vya polisi. Katibu katika wizara hiyo Mohamed Liban pia ameripotiwa kukamatwa, kuhojiwa na kuwaachilia kwa sababu za kiafya kuhusiana na sakata ya uagizaji wa mafuta.