- 731 views
Maafisa WATANO wa kitengo maalum cha Usalama -SOG - wameuwawa kwa kupigwa risasi na magaidi wa Alshabab huku WANANE wakijeruhiwa vibaya katika shambulizi la kigaidi lililotokea Rakei eneo lililoko ndani ya msitu wa Boni -Bodhei kaunti ya Lamu. Kamishna wa Lamu Wesley Koech amesema kuwa magaidi zaidi ya 70 walikuwa wakijaribu kuingia Bodhei kupitia Garisaa kabla ya kikosi cha SOG kutumwa ili kuwakabili. Maafisa hao WANANE waliojeruhiwa wamesafirishwa kwa ndege hadi Nairobi kwa matibbau huku vitengo mbalimbali vya maafisa wa usalama vikiendeleza oparesheni dhidi ya magaidi hao wanaoaminika pia kujeruhiwa kwenye makabiliano. Tukio hilo limetokea kilomita tatu kwenye eneo la Mpaka wa Lamu na Garissa.
Maafisa wawili wa kikosi maalum wameuwawa Lamu
- 6 Jul 2025 - Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
- 6 Jul 2025 - Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
- 6 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
- 6 Jul 2025 - The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
- 6 Jul 2025 - Parliament's CDF coup: The Senate should halt this constitutional heist
- 6 Jul 2025 - Opposition leaders slam Ruto over state house church plans
- 6 Jul 2025 - Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted
- 6 Jul 2025 - Joho leads Coast MPs in Ruto campaign
- 6 Jul 2025 - Mr President you risk bringing idolatry in church, State House
- 6 Jul 2025 - Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction