Maafisa wawili wa polisi pamoja na sarahangi wanatafutwa baada ya boti walimokuwa kupinduka

  • | K24 Video
    224 views

    Maafisa wawili wa polisi pamoja na sarahangi wanatafutwa baada ya boti walimokuwa kupinduka katika ziwa victoria huko Migori. Tukio liliripotiwa eneo la Magabo wadi ya Muhuru. Wakati wa tukio, boti lilikuwa na maafisa wanane wa idara tofauti ikiwemo ya polisi ila watano wameokolewa.