Skip to main content
Skip to main content

Maambukizi mapya ya HIV yaibua wasiwasi huku dunia ikiadhimisha siku ya ukimwi

  • | Citizen TV
    697 views
    Duration: 1:05
    Huku ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha siku ya ukimwi duniani hapo kesho, wasiwasi umeibuka kuhusu viwago vya maambukizi mapya ya virusi vya HIV haswa miongoni mwa vijana. Kwa mujibu wa takwimu za baraza la kitaifa kuhusu magonjwa hatari mwaka jana, virusi vya HIV vimepanda ikilinganishwa na miaka sita iliyopita