- 2,994 viewsDuration: 51sMkuu wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa vya Afrika alionya siku ya Jumanne kwamba mlipuko wa Ebola nchini Congo unaweza kuwa mbaya zaidi kuwahi kutokea, akisema kwamba kwa sasa makumi ya maelfu ya watu waliogusana na wagonjwa wa ugonjwa huo hawajapatikana. Mwandishi wetu Robert Kiptoo yuko Mashariki mwa jamhuri ya kidemkrasia ya Congo ametuandalia taarifa hii #bbcswahili #ebola #DRC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw