Maambukizi ya virusi vya HIV

  • | KBC Video
    32 views

    Wizara ya afya iko tayari kuzindua mkakatati wa kupima mara tatu virusi vya ukimwi jinsi ilivyopendekezwa na shirika la afya duniani ili kupata matokeo sahihi na kamili. Uchunguzi huo unaojumuisha utumizi wa vifaa vitatu tofauti mfululizo utahakikisha matokeo sahihi kuhusu virusi vya HIV pamoja na kuimarisha juhudi za Kenya za kukabiliana na maambukizi ya virusi hivyo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News