Maandalizi ya sherehe za siku ya Madaraka 2025 yako katila hatua ya mwisho

  • | NTV Video
    556 views

    Maandalizi ya sherehe za siku ya Madaraka ya 2025 katika kaunti ya Homa Bay yako katika hatua yake ya mwisho.

    Mwanahabari wa NTV Ouko Okusah alisafiri hadi mji wa kando ya ziwa Victoria kupima hali ilivyo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya