- 2,936 viewsDuration: 3:18Waziri wa michezo Salim Mvurya amewahakikishia Wakenya kuwa uwanja mpya ya Ithookwe katika kaunti ya Kitui uliogharimu shilingi milioni 700 umekamilika kwa asilimia 96 na utakuwa tayari kwa sherehe za mwaka huu za sikukuu ya Mashujaa. Mvurya aliyezuru uwanja huo leo akiambatana na katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt Raymond Omollo na maafisa wengine wakuu wa serikali alisema uwanja huo unaoweza kuchukua watu elfu-10 utakabidhiwa kwa kamati andalizi juma lijalo, kwa sherehe hizo za tarehe 20 mwezi huu. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa kaunti hiyo kuandaa sherehe ya kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive