Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi yamekamilika kwa mchuano wa raga wa Dunia divisheni ya pili jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    232 views
    Duration: 1:28
    Maandalizi yote yamekamilika tayari kwa mchuano wa raga wa dunia divisheni ya pili utakaochezwa uwanjani nyayo jumamosi na jumapili. Baadhi ya barabara jijini zinatarajiwa kufungwa.