Maandamano dhidi ya kuongezwa kodi Kenya

  • | VOA Swahili
    263 views
    Polisi wazuia maandamano nchini Kenya. Endelea kusikiliza sauti za wananchi wakilalamika kupanda kwa gharama ya maisha kutokana na kuongezwa kodi nchini Kenya. #polisi #waandamanaji #kenya #gharama #kodi #rais #williamruto #voa #voaswahili #dunianileo