Skip to main content
Skip to main content

Maandamano Eastleigh | Mfanyabiashara Shukri Hassan atekwa nyara

  • | Citizen TV
    14,666 views
    Duration: 3:12
    Wafanyibiashara mtaani Eastleigh wameandamana kulalamikia kutekwa nyara kwa mfanyibiashara mwenzao Shukri Hassan. Wafanyabiashara hawa wakilalamikia kuongezeka kwa visa vya wafanyabiashara kutekwa nyara, wa punde zaidi akiwa Shukri aliyetoweka Jumamosi. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema idara ya upelelezi inachunguza ongezeko ya visa hivyo.