Maandamano ya chama cha upinzani cha Tanzania

  • | BBC Swahili
    3,291 views
    "Tumefanya maandamano makubwa na marefu bila sisimizi kuumizwa" - Freeman Mbowe Viongozi na wafuasi wa chama kikuu cha upinzani nchi Tanzania, Chadema wamefanya maandamano kupinga miswaada mitatu ya uchaguzi iliyofikishwa bungeni, Katiba mpya na wanaishinikiza serikali kuchukua hatua juu ya kupanda kwa gharama ya maisha. 🎥: eagansalla_gifted_sounds_ #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw