- 3,205 viewsDuration: 2:49Kamanda wa Polisi wa eneo la Nairobi, Issa Mohamud, ametangaza kuwa mkutano wa kumbukumbu wa Gen Z na maandamano yaliyopangwa kufanyika kesho ni kinyume cha sheria. Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Polisi, eneo la South C, Mohamud alifichua kuwa polisi hawajapokea notisi yoyote rasmi kuhusu mikutano au maandamano hayo, ambayo ni sharti la lazima kwa mujibu wa sheria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive