Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya mauaji yazua taharuki Garissa na Narok

  • | Citizen TV
    11,127 views
    Duration: 2:20
    Maandamano yameshuhudiwa katika kaunti za Garissa na Narok hii leo baada ya wakazi na wanafunzi kujitokeza barabarani kudai haki kufuatia mauwaji ya watu wawili. Huko Garissa, maandamano yalichochewa na mauaji ya dereva huku Narok nako wanafunzi wa chuo kikuu cha Maasai Mara walifunga barabara kuu ya Narok - Bomet kulalamikia kifo cha mwanafunzi mwenzao.