Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya upinzani

  • | Citizen TV
    6,081 views
    Duration: 1:22
    Naibu kinara wa chama cha ODM Abdulswamad Sharif anataka serikali kuhakikisha usalama unadumishwa endapo upinzani utaandaa maandamo kuishinikiza serikali kuwachukulia hatua maafisa wa polisi waliohusika katika vurugu kanisani huko Nyeri. Akiongea huko Mombasa amesema uhuru wa kuandamana unapaswa kuheshimiwa ili kukuza demokrasia.