- 50,333 viewsDuration: 1:21Milio ya risasi na mabomu ya machozi yalirindima kutoka pande zote mbili za mpaka wa Kenya na Tanzania Namanga, huku serikali ya Kenya ikiwaonya wananchi wake kutojihusisha na maandamano na siasa za nchi jirani ya Tanzania. - @ahmedbahajj ambaye yuko huko anasema mtu mmoja ameripotiwa kufariki katika makabiliano hayo mpakani. - - - #bbcswahili #tanzaniatiktok #maandamano #kenya #uchaguzimkuu2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw