Skip to main content
Skip to main content

Maaskofu wa Katoliki waonya dhidi ya ongezeko la uhuni kabla ya uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    972 views
    Duration: 2:43
    Maaskofu wa kanisa katoliki wameonya dhidi ya ongezeko la visa vya uhuni nchini, wakisema matukio hayo ni hatari haswa wakati huu taifa linapoelekea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao sasa wanawataka wakenya kutotumiwa kuzua vurugu au kujihusisha na vitendo vya kihuni. Walikuwa wakizungumza mjini wote kaunti ya Makueni wakati wa hafla ya kusimikwa kwa askofu wa pili wa jimbo la WOte Peter Simon Kamomoe.