Skip to main content
Skip to main content

Mabawabu wapokea mafunzo spesheli ya kuwawezesha kuwa walinzi wa watu mashuhuri

  • | KBC Video
    32 views
    Duration: 2:33
    Wataalamu wa masuala ya usalama wanasema ipo haja ya mafunzo ya kina kuhusu ulinzi wa kibinafsi kama njia ya kuwawezesha mabawabu na walinzi kupata kazi za viwango vya juu humu nchini na hata ughaibuni. Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya ulinzi ya Canik Spy, Peter Okul anasema hitaji la mabawabu na walinzi waliohitimu na wenye ujuzi linazidi kuongezeka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive