13 Oct 2025 10:15 am | Citizen TV 82 views Duration: 1:52 Watu zaidi ya 40 wakiwemo machifu,viongozi wa kidini,wanaharakati katika maeneo mbalimbali kaunti ya Lamu wamepokea mafunzo ya kusuluhisha kesi kupitia mfumo wa upatanisho nje ya mahakama.