Madaktari Nandi wafutilia mbali mgomo wao baada ya kupata afueni kutoka serikali hiyo

  • | Citizen TV
    150 views

    Shughuli za matibabu kwenye kaunti ya Nandi imepigwa jeki baada ya madaktari na wauguzi wakiongozwa na muungano wa KMPDU Bonde la Ufa Kaskazini kukubaliana na serikali ya kaunti hivyo kufutilia mbali mgomo wao kwa muda baada ya madaktari zaidi ya 50 kupewa barua za kuongezwa mshahara. Madaktari hao wamekuwa wakishikiniza serikali ya kaunti ya Nandi kuwa pandisisha vyeo Madaktari ambao wamehudumu kwa muda katika ngazi moja