Madaktari waandamana jijini Nairobi na Eldoret

  • | Citizen TV
    877 views

    Mgomo wa Madaktari umeingia siku ya tisa Leo huku maandamano yakiandaliwa jijini Nairobi na mjini Eldoret. Aidha, Viongozi wa Wahudumu wa Afya wamesema kwamba hawatalegeza kamba hadi matakwa Yao yaangaziwe