Madaktari wazitaka serikali kununua vifaa na dawa

  • | Citizen TV
    575 views

    Chama cha madaktari nchini KMPDU ukanda wa kaskazini mwa Bonde la Ufa, kinaitaka serikali ya kitaifa na serikali za kaunti kushirikiana kununua vifaa na dawa pamoja na kuwaajiri madaktari zaidi. Madaktari hao walikuwa wakizungumza katika mkutano wao wa mwaka mjini Eldoret